Philadelphia
Gospel Singersni
kwaya ya kanisa Inayomtumikia Mungu Kwa njia ya uimbaji, Ni moja Ya
kwaya kubwa Mjini Dodoma Na Tanzania kwa ujumla.
Wamesharekodi
Albam totauti tofauti, Kati ya Albam zao ni TAFUTENI
MUNGU na moja ya nyimbo ni
hii inyokwenda kwa jina la SIKIA.
Bonyeza hapa kwa kujua zaidi kuhusu kwaya
hii na huduma yao.
Chama
hiki kinaundwa na wanawake wote wakanisa la Philadelphia Gospel Assembly.
Moja ya mambo
muhimu wanayojifunza ni Jinsi ya kutunza na kulea familia zao katika
misingi ya kiroho kama bibilia inavyoagiza. Bonyeza
hapa kama unataka kujua zaidi kuhusu chama hiki cha wanawake.
Idara
ya vijana ni moja ya idara muhimu kanisani, idara hii inajumuisha vijana
wote waliopo kanisani na ina ikiwa na majukumu mbalimbali, kama kuwa
na miradi mbalimbali, kuhubili injili sehemu mbalimbali, kuandaa makongamano
ya vijana na kuwafundisha jinsi ya kuenendakama vijana katika misingi
ya Biblia. Bonyeza hapa kamaunatakakujua zaidi
Watoto
Ni moja ya Huduma Ambayo Kanisa inatilia Mkazo na kuhakikisha kuwa watoto
wanafundishwa neno la Mungu kwa ufasaha.
Watoto wamekuwa
ni baraka sana kanisani na huduma hii imewasaidia watoto wengi kuweza
kumjua mungu na kuenenda katika njia fasaha tangu wakiwa watoto. Bonyeza
hapa kujua zaidi