Askofu Mkuu IDARA MBALIMBALI MAWASILIANO RAMANI ENGLISH

 

Karibu Kanisa la Philadelphia Gospel Assembly Dodoma
CHANGE LANGUAGE TO ENGLISH

RATIBA ZA IBAADA


 

JUMAPILI:-

saa 3:00-4:00 Asubuhi:SUNDAY SCHOOL.

saa 4:00-6:00 Mchana:IBAADA KUU

saa 10:30-12:00 Jioni:IBAADA YA KUSIFU NA KUABUDU.

JUMATATU:-

saa 10:30-12:00 jioni:MAOMBI

JUMANNE:-

saa 10:30-12:00 jioni:KWAYA.

JUMATANO:-

saa 10:30-12:00 jioni:VIJANA

ALHAMISI:-

saa 10:30-12:00 jioni:MAFUNDISHO

IJUMAA:-

saa 10:30-12:00 jioni:WANAWAKE

saa 3:30usiku-9:00alfajiri: MKESHA:

JUMAMOSI:-

saa 10:30-12:00 jioni:KWAYA

***MORNING GLORY:-***

Kila siku asubuhi kuanzania saa 12:00 asubuhi mpaka saa 1:00 asubuhi kunakuwa na maombi ya asubuhi,isipokuwa siku ya jumapili.

KARIBU SANA UKUTANE NA MUNGU.

N.B

Muda uliotumika katika ratiba hii unasomeka kwa Lugha ya kiswahili.

 

 

Roho mtakatifu amekuwa akitembea katika Kila ibaada zetu, tumeshuhudia watu wakiponywa, wakifunguliwa waliokuwa wamefungwa na vifungo vya shetani, wenye magonjwa mbalimbali wakifunguliwa na wenye matatizo tumeshuhudia Mungu akiwafungua na kuwaweka huru mbali na vifungo vya shetani.

Mungu amekuwa akisema nasi kwa jumbe mbalimbali kupitia mtumishi wake Bishop Yohana S Masinga(Dr).

Tunachukua nafasi hii kukukaribisha katika Ibaada zetu na Mungu atakugusa kwa njia ya tofauti kabisa na Mungu atayabadilisha maisha yako kiroho na kimwili pia.

 

 

 

 

 

 

KARIBU SANA TUNATARAJIA KUKUONA

 

 

 

Please contact us for any DONATION or PLEDGE you have, also contact us if you want to wire your OFFERINGS

God bless you so Much.

 
 
 

All wright reserved. ©2009 Philadelphia Gospel Assembly Church Dodoma,

P.o.Box 331,Dodoma ,Tanzania

Cell:+255784993496, +25578492592,+821086965208.