Philadelphia Gospel Assembly church Dodoma

Previous | Home | Next
Kutoka katikati ya mji fuata ARUSHA ROAD ambayo ni barabara inayounganishwa kutoka KUU STREET ukisha vuka uwanja wa ndege kama unaelekea mnadanikata kona kwenye maungio ya WAJENZI ROAD na ARUSHA ROAD halafu fuata WAJENZI ROAD kisha ukifika kwenye KITUO CHA VIJANA kata kona upande wa kushoto kisha nenda mbele kidogo utaona kanisa.

Tazama ramani nii kwa msaada zaidi, kama bado kuna shida yeyote tafadhali wasiliana nasi, mawasiliano yetu yapo hapo chini au fungua ukurasa wa mawasiliano

Karibu sana Tunategemea kukuona.

CHANGE LANGUAGE TO ENGLISH


All wright reserved. ©2009 Philadelphia Gospel Assembly Church Dodoma,

P.o.Box 331,Dodoma ,Tanzania

Cell:+255784993496, +25578492592,+821086965208.