Philadelphia Gospel Assembly church DodomaKutoka katikati ya mji fuata ARUSHA ROAD ambayo ni barabara inayounganishwa kutoka KUU STREET ukisha vuka uwanja wa ndege kama unaelekea mnadanikata kona kwenye maungio ya WAJENZI ROAD na ARUSHA ROAD halafu fuata WAJENZI ROAD kisha ukifika kwenye KITUO CHA VIJANA kata kona upande wa kushoto kisha nenda mbele kidogo utaona kanisa. Tazama ramani nii kwa msaada zaidi, kama bado kuna shida yeyote tafadhali wasiliana nasi, mawasiliano yetu yapo hapo chini au fungua ukurasa wa mawasiliano Karibu sana Tunategemea kukuona
|
|
![]() |
All wright reserved. ©2009 Philadelphia Gospel Assembly Church Dodoma,
P.o.Box 331,Dodoma ,Tanzania
Cell:+255784993496, +25578492592,+821086965208.